Our School Anthem

  

KIBURIA MWANGAZA NYOTA YA WOTE

1. Twaitwa Kiburians, twasimamawima,
Twakaza twasali, nasi twafaulu:
Nidhamu twaweka, elimu twapata
Umoja wetu ndio nguvu yetu x 2

2. Elimu ni afya, akili na mwili
Kiroho twakua, Mungu atawala.
Alama za juu, twapata si haba:
Kwanza nidhamu, masomo michezo x 2

3. Kiburia mwangaza, heshima twakupa
Siku itafika utuage twende:
Mizizi dhabiti, utu umetupa
Ubarikiwe e nyota ya wote x 3

Home

 WELCOME TO ST. BAKHITA KIBURIA GIRLS’ HIGH SCHOOL OFFICIAL WEBSITE       OUR MOTTO Achievement through …

read more

Prize giving day photos

              

read more